About Us

NJODINGO ni Shirika lisilo la Kiserikali ambalo ni kiungo kati ya mashirika yote yasiyo ya kiserikali katika Wilaya ya Njombe na maeneo mengine. COF na NJODINGO wanashirikiana sana katika kupanga na kuratibu mikutano kwa ajili ya mashirika yanayohusika na watoto yatima na wenye matatizo. Mikutano hiyo inasaidia kufahamiana na pia kuboresha huduma zinazohitajika kwa watoto.
.........................................................................................................................................................................
NJODINGO is a Tanzanian NGO which is coordinating all the non- governative organization working in the district of Njombe in different areas. COF and NJODINGO are collaborating to organize meetings for the Ngos which are dealing with orphans and vulnerable children in order to know each other and improve the services provided to the beneficiaries.

No comments:

Post a Comment